Jiondolee Hofu ya kuwaalika kwaalikwa wako kwa kutumia KADI SMART, na utawaalika kwa uharaka kidijitali
Jaribu Sasa
Tutakutengenezea kadi ya sherehe yako Bure.
Wageni wako hata wakiwa 1000, ndani ya dakika 1 watapokea kadi wote kupitia Whatsapp na SMS.
Pata wepesi wa kukusanya michango kwa kutumia mfumo wa Kadi Smart.
Tutakuja kuscan siku ya sherehe na kukusaidia kuzuia wazamiaji katika sherehe yako.
Tutawapigia simu waalikwa wako wote, kuhakikisha kama wamepokea kadi au wanachangamoto yoyote.
Tutakupa ripoti kuhusu sherehe yako, waalikwa waliothibitisha kufika na wasiothibitisha, Utashuhudia ontime scanning ya waalikwa wako.
Tsh 1500
Tsh 2,200